Julius Msekwa alizikwa na wengi
Hapa ni nyumbani kwa Mzee Pius Msekwa Oysterbay siku ya mazishi ya mtoto wake mpendwa Julius Msekwa (Mwana-Mlimani LY 1987)Kutoka kushoto mwenye shati jeupe ni Sudi Kavirondo, anayefuata jina limenitoka, Alex Makene, Paul Meela, Ricky Renson, Eric Msekwa, Nico Meela, Novatus, Victor Makene na Aikameni Mshiu. R.I.P Julius
 |
Marehemu Julius Msekwa |
Watu wamebadilika sana....inapendeza kuwaona wote wamekaa ki pesa pesa hivi, mungu awabarki
ReplyDeleteR.I.P Julius..mourn you till we join you.
ReplyDelete