Wednesday, December 15, 2010

Julius Msekwa alizikwa na wengi

Hapa ni nyumbani kwa Mzee Pius Msekwa Oysterbay siku ya mazishi ya mtoto wake mpendwa Julius Msekwa (Mwana-Mlimani LY 1987)Kutoka kushoto mwenye shati jeupe ni Sudi Kavirondo, anayefuata jina limenitoka, Alex Makene, Paul Meela, Ricky Renson, Eric Msekwa, Nico Meela, Novatus, Victor Makene na Aikameni Mshiu.     R.I.P Julius


Marehemu Julius Msekwa


2 comments:

  1. Anonymous04:57

    Watu wamebadilika sana....inapendeza kuwaona wote wamekaa ki pesa pesa hivi, mungu awabarki

    ReplyDelete
  2. Anonymous08:21

    R.I.P Julius..mourn you till we join you.

    ReplyDelete