Bango la Shule lililopo barabarani |
Miaka ya nyuma sana lilikuwa darasa la kwanza |
Lilikuwa darasa la nne |
Zamani ilikuwa ofisi ya mwalimu Mkuu na bomba la maji ya kunywa na kumwagilia bustani |
Lilikuwa darasa la saba |
Nyuma ya shule kwenye vyoo |
Lilikuwa darasa la tatu enzi hizo |
Ofisi mpya za Walimu na mwalimu Mkuu |
7 comments:
Hongera sana kwa kuanzisha blogu hii. Inatukumbusha mbali sana hata si wazee wa Mlimani. Fikiria kuitengenezea FB page pia.Mimi nilimaliza 1978 class 7B enzi za Headmaster Mama Mmari akisaidiwa na Mama Kweka. Nawakumbuka sana walimu wangu akina Mama Mtabi, Iranga,Mwingira, Mahimbo na wanafunzi wenzangu akina Albert, Geofrey,Stuart, Elihud, Beatha, Kulwa, Dotto,Nuru, Aziz, Lumumba, Nini na Ayana Mc Ghee na wengineo wengi. sijui wapo wapi siku hizi labda twaweza kutana hapa.Natafuta picha nilizonazo za Mlimani enzi hizo ili niwatumie.
Wow! Yaani umenipeleka kwenye memory lane ya nguvu!!! Yaani shukrani sana kwa hizi picha na blog iko bomba. Hata kama nimemaliza hapo shule sio muda mrefu hivyo (kama wengine ninaowaona kwasababu wengi siwajui) ila I am hoping to be reunited with some people here. Great job!
Hongera sana kwa kuanzisha blog hii maana inatukumbusha mbali ile mbaya, enzi za mwalimu Mndolwa,Elia na Makubi.
ofisi ya mwalimu mkuu naiona pale na bomba la kunywea maji, enzi zetu jamani utoto raha sana, tulikuwaga tunainama tunakunywa maji hapo kila mtu anaweka mdomo wake tunanywea hapohapo hahaaaahaaaa ila shule ya Mlimani jamani imetoa vichwa sana, mungu mkubwa.
ofisi ya mwalimu mkuu naiona pale,tulikuwaga hatusogelei hilo eneo, na siku ukiitwa ofisi hiyo ujue kuna nomaaa tu.Bomba la kunywea maji, enzi zetu jamani utoto raha sana, tulikuwaga tunainama tunakunywa maji hapo kila mtu anaweka mdomo wake tunanywea hapohapo hahaaaahaaaa ila shule ya Mlimani jamani imetoa vichwa sana, mungu mkubwa.Blog nzuri...
Naitwa christopher Mkally.
email yangu Mkatofa@hotmail.com
Mob, 0712303191
WANAFUNZI
nawatafuta emanueli elia ,kwame fimbo, emanueli semboja,gere(huyu nimemwona kwenye picha za sherehe)ulimbakisie mwanyingi,kevin kanuti wa kimara teresia tungaraza nansi lina kitosi
Hawanawakumbuka
WAALIMU
Mwl. mokiwa. mwl.mgenzi.(alikuwa nauza ubuyu wa unga)mwl.kitutu. mwl. tungaraza mwl. elia. mwl.semboja. mwl. makubi mwl. mndolwa. mwal shirima(alikuwa anachapa huyu)
WADAU WENGINE
Mzee mombasa na mama salama (kwenye mkwaju walikuwa wanauza miogo na matunda)
Naukumbuka ulingo wetu wangumi pale shule ya vidudu
Mwisho naomba tujiunge ili tuweze kuifanyia kitu kizuri hii shule yetu kwani ndiyo iliyotupa elimu nya msingi.
jamaaaaani am jus so happy to see those buldings once again. nimepamiss saaaana mlimani. mimi naitwa Alice.nimemaliza mwaka 1999.sina contact na rafiki zangu wooote yani. i hope one day nitaweza kukutana nao kwenye hii blog.
Post a Comment