To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, December 22, 2010

Tage Biswalo Ala Nondozz (PhD) Marekani

Dr Tage Biswalo "LY 1990"mara baada ya kula Nondo yake ya PhD


Dr Tage na Mke wake


8 comments:

Anonymous said...

Nimefurahi sana kuona blog yetu watu tuliosoma Mlimani Primary school,na nimefurahi zaidi nilivyoiona picha ya mshikaji wangu Tage Biswalo,jamaa nimekaa nae dawati moja na nnakumbuka sana tulivyokuwa tunacheza kitenesi pale kwenye uwanja karibu na milingoti ya bendera,wengine ambao nawakumbuka tulikuwa nao ni kama Seku Chikawe,Paschal Zambi,Joseph Mdee,James Balele,Tony Sechambo,Gloria Besha,Charles Mokiwa,Charles Christopher,Joyce Matondane,Wapalikaya n.k
Vile vile nawakumbuka sana walimu,mama Mndolwa(m/mkuu wakati huo),mwl Mshiu,mwl Mdee,mwl Mashisha n.k

Anonymous said...

Hongera sana kaka yangu Tage, Daddy would be so proud of you now.R.I.P Dad...
product za Mlimani kweli hatari tupu!!

Anonymous said...

Mumesomeka

Anonymous said...

Nimefurahi sana kuona blog yetu ya watu tuliosoma Mlimani Primary school,na nimefurahi zaidi nilivyoiona picha ya mshikaji wangu Tage Biswalo,jamaa nimekaa nae dawati moja na nnakumbuka sana tulivyokuwa tunacheza kitenesi pale kwenye uwanja karibu na milingoti ya bendera vile vile tulikuwa tunashindana sana kucheza nyimbo za late MJJ,wengine ambao nawakumbuka tulikuwa nao ni kama Seku Chikawe,Paschal Zambi(aka Bonge),Joseph Mdee(alikuwa monitor wetu jamaa alikuwa anapiga makonzi balaa,huyu ni kaka wa Halima Mdee(MP)),James Balele,Denis Chuwa,Charles Mokiwa,Wapalikaya,Danny Msuya,Baraka Kapuya,Charles Christopher(aka kichwa) na mademu k.v Gloria Besha,Sikudhani Mohamed,Jesicca,Rehema Ahmad,Joyce Matondane,Tony Sechambo n.k

Vile vile nawakumbuka sana walimu,mama Mndolwa(m/mkuu wakati huo),mwl Mshiu,mwl Mdee,mwl Mashisha('duh utoto huu bwana, eti nilikuwa namzimia mwalimu wangu huyu') n.k

Je wadau wanamkumbuka jamaa mmoja alikuwa anatuuzia ice cream na mihogo?huyu anaitwa mzee Mombasa sijui bado yuko hai au la

ntapokuwa napata data nyingine will keep you posted bro' cheers and appreciated for this idea


Rgds

Sosthenes Ambakisye a.k.a Sos-B

Anonymous said...

Hongera sana Tage(Thesis yako au utaalaamu wako ni katika mambo gani?)Nimefurahi pia kuona comment kutoka kwa Sos B(aisee long time hatujawasiliana) Mombasa nasikia alifariki kitambo. Sikujua kuwa na wewe ulimaliza Mlimani mimi ni ex wa mlimani pia miaka ya mbele na nyie. ex co worker

Ma Alinda said...

Hongera sana Dr. Tage. Nkumbuka tulikuwa tukipita kwenu pale kuomba maji ya kunywa.lol...long time sasa hivi tuna misha yetu pia.

Ma Alinda said...

nimemaliza 1992,nina degree ya sayansi na ualimu kutoka Mlimani nimeolewa na Muhaya nina watoto wawili naishi Dar.

Anonymous said...

Hongera Saaaana Saaaana DR Biswalo!! Who Would have thought OF ALL PEOPLE, Tage angekula Nondoz za PhD??? Na utundu uleeee... WIshing you all the best bro...

By the way, Moderator usimzibie bwana...Jamaa bado hajaoa.... Mwache aiNjoy PhD yake...hah