Friday, October 21, 2011

Ajali Ya Ndege Iliyo Tokea Kilometa15 Kutoka Uwanja Wa Ndege Wa KIA Jana Usiku

Picha ya ndege iliyo dondoka ikitoka KIA  usiku wa jana  ambapo kulikuwa na Pilot aliye fariki dunia papo hapo anatambulika kwa jina la Ally na abiria mwengine ambae yupo KCMC kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment