| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiingia katika ukumbi wa Nkurumah kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Balozi Fulgence Kazaura na kulia ni Makamu mkuu wa chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala |
No comments:
Post a Comment