Wednesday, October 19, 2011

Mamia wamzika Maulid Ahmed Maulid Zanzibar

Maelfu ya wananchi washiriki katika kusindikiza jeneza lenye mwili wa Marehemu Maulid Hamad Maulid,(mwanahabari) na kuelekea kuzikwa Bumbwini Wilaya kaskazini B Unguja leo.

Waumini wa Dini ya kiislamu wakimsomea hitma  marehemu Maulid Hamad Maulid, katika msikiti wa Mombsa kwa mchina,ambae alifariki juzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment