Monday, December 27, 2010

Enock Nkonoki akabidhiwa nondozzz Finland

Enock Nkonoki "LY 2000" mara baada ya kukabidhiwa nondo yake ya BBA, International Business katika ARCADA University of Applied Sciences jijini Helsinki Finland, hapa yuko tayari na mabegi yake kuelekea airport ili arejee nyumbani  Tanzania

5 comments:

  1. Anonymous05:42

    Hongera dogooo Eno!!!

    ReplyDelete
  2. Anonymous14:21

    Good job Enock.

    ReplyDelete
  3. Anonymous05:06

    Hongera Enock!!

    ReplyDelete
  4. Anonymous01:05

    JAMANI HONGERA ENOCK MIMI NZILA MHAMIJI MPE HI EMMA ISHI ESTHER NA WENGINE WENGI BIG UP KILIMAHEWA STREET

    ReplyDelete
  5. hanifa03:53

    Nzila mambo? habari za siku? upo wapi siku hizi, nilikua na chat na George Mishambi tukakukumbuka sana. mie Hanifa Mohamed LY 1989

    ReplyDelete