Habari za kuaminika na zilizothibitishwa na mwenyewe Jay P ni kwamba atauaga Ukapera muda si mrefu kutoka sasa hivyo tumpe mwenzetu ushirikiano wa hali na mali, ni uamuzi mgumu na wa busara aliouchukua pia tumpongeze.
hongera sana Jay P kwa uamuzi uliochukua wa kuuaga ukapera. Kaka tuko pamoja, mambo yakianza tutajumuika katika kukusaidia kufanikisha siku yako. Tuhabarishe zaidi mambo yakianza. Hongera sana na Mungu akupiganie sana katika kipindi hiki.

ReplyDeleteHongera sana Martin.je naweza jua kwa nini anaitwa Jp siku hizi?atutumie card tuta m support.
ReplyDeleteHongera sana Martin...blessings!
ReplyDeletehuyu jamaa na ma-pet pet vipi? hii kuiga culture matatizo kweli
ReplyDelete