Sunday, December 26, 2010

Mtanange Kabambe leo

LEO majira ya saa 10:30 kumi na nusu za jioni kutakuwa na mechi ya kirafiki kati ya UDSM veterans na AZAM veterans katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Usikose kuhudhuria mtanange huu!!

No comments:

Post a Comment