Thursday, January 27, 2011

Msiba Msiba Msiba!

MWANA MLIMANI MWENZETU GRACE KIHONGO MHINA AMEFARIKI LEO..KWA MWENYE CONTACT ZA MWALIMU KIHONGO AU ZA KWENYE MSIBA TAFADHALI ATUPATIE..RIP GRACE KIHONGO!

"BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE" AMEN!

2 comments:

  1. Anonymous06:32

    Ooh jamani, very sad news, R.I.P Grace, mapenzi ya mungu..

    ReplyDelete
  2. Maskini Grace jirani yangu wa enzi hizo pale Ubungo Flati! Mungu awape faraja Mlonga, na Mwalimu Kihongo na familia yao yote katika kipindi hiki kigumu. Amen.

    ReplyDelete