Tuesday, March 1, 2011

Harusi ya Jay P

Ile harusi ya mwenzetu Martin Elia "Jay P" na Angel Ngailo tuliyokuwa tukiisubiri sana hatimaye kufanyika wikiendi hii tarehe 5 Machi katika ukumbi wa mlimani city, kama haukuweza kumchangia basi usisite kumnunulia hata zawadi ndogo kisha umpelekee kumpongeza.

I wish to you Joy & Happiness, but above all this, I'm wishing u LOVE!

No comments:

Post a Comment