Wednesday, March 16, 2011

PSPF yachangia hospitali ya mkoa wa Kagera

Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma (PSPF) Bw. Patrick Mongela (Mwana-Mlimani) akiongea kabla ya kukabidhi msaada wa mashuka 420 na foronya 240 wenye thamani ya zaidi shilingi milioni 4.6 kwa hospitali ya mkoa wa Kagera
.

1 comment:

  1. Anonymous10:09

    Woow Mlimanians are doing good...very nice to see this.

    ReplyDelete