Wednesday, April 20, 2011

Benki ya NMB yaibuka na huduma mpya ya Pesa-Fasta ambayo mteja haitaji kadi ya ATM wala kuwa na akaunti NMB

Mkuu wa masoko na mawasiliano wa NMB Bw. Imani Kajula akimuelekeza mteja jinsi ya kuchukua fedha zilizotumwa kwa NMB pesa fasta kwenye akaunti ya NMB

No comments:

Post a Comment