Tuesday, April 5, 2011

Imani Kajula na Sizya Fimbo katika picha

Mkuu wa masoko na mawasiliano wa NMB Imani Kajula akimpongeza meneja wa bima za benki wa African Life Assurance Sizya Fimbo baada ya uzinduzi. NMB na African Life Assurance zimeshirikiana katika kuanzisha huduma ya NMB faraja.

3 comments:

  1. Anonymous04:31

    woow, this is nice!!Mlimani forever....

    ReplyDelete
  2. Anonymous06:52

    Big up guys, that is the way to go. Thanx Admin.

    ReplyDelete
  3. Anonymous05:50

    This is great, hawa jamaa ni class mates! Big up guys keep Mlimani spirit forever

    ReplyDelete