To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Friday, August 12, 2011

Harusi ya Christopher Shechambo aka "Chambo"

Ndoa kati ya Chambo na Lucy Hiza ilifungwa tarehe 6.8.2011 kanisa la KKKT Chuo kikuu cha DSM na baadae kufuatiwa na mnuso uliofanyika katika ukumbi wa Lamada Ilala Dar es Salaam

Maharusi Christopher "Chambo" na Lucy

Chambo na mke wake

Massi

Mama Shechambo

Dada mtu na mume wake

Wageni waalikwa Taji Liundi na mke wake Lilian

Massi

Gloria aka "Massi"

1 comment:

Anonymous said...

duuh mlipendeza sana. hongeren chris na lucy.