To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, August 30, 2011

Hongera Joyce "Chonge" kuwa wakili "Advocate"

Joyce Mbago "Chonge" akipewa mkono wa pongezi na Jaji Mkuu Othman Chande baada ya kuapishwa kuwa wakili "ADVOCATE" wa mahakama kuu Tanzania katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam

2 comments:

Chambi Chachage said...

Hongera sana Esq.!

Anonymous said...

hongera sana jirani.