To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, September 6, 2011

Harusi ya msanii wa filamu MERCY JOHNSON wa Nigeria

Harusi ya muigizaji maarufu wa Nigeria MERCY JOHNSON OZIOMA na mmewe PRINCE ODIANOSEN OKOJIE iliyofungwa jumamosi iliyopita katika kanisa la CHRIST EMBASSY mjini Lagos ilifana sana na kuhudhuriwa na mastaa wengi wa Nollywood hivyo kuvunja rekodi.Kabla ya harusi hii kufungwa kulikuwa na mgogoro mkubwa kati ya mke wa zamani wa PRINCE ODIANOSEN ajulikanae kama LOVELYNE OKOJIE aliyetoa pingamizi kuwa alishaolewa na hajaachwa pia amezaa nae watoto wawili na picha zao akatoa,lakini mambo yaliwekwa sawa na harusi ikafungwa vizuri tu.

GENEVIEVE NNAJI akitoa wosia wake kwa Mercy,Genevieve ndiye aliyemfanya Mercy aingie katika uigizaji na miaka yote Mercy humuona Genevieve kama mwalimu wake katika sanaa hii.

Stephanie Okereke akiingia ukumbini

Kushoto ni muigizaji EMEKA IKE akiingia na kulia ni muigizaji wa Ghana Michel Majid wote walikuepo.

 Msanii 2shots(kushoto)akiwa na muigizaji Mike Ezuruonye harusini.

Jim Ike(kushoto) na Keneth Okonkwo

 Muigizaji wa Ghana Yvone Nelson(kushoto),Waje na Empress Njamah (Nollywood)

 Comediana mfupi Nollywood Chinedu Ikedieze na mchekeshaji wa jukwaani AY.

Kanisani


Mercy Johnson

Keki

No comments: