Rais Kikwete akipata maelezo kuhusu Umoja Phone Maelezo |
Wamiliki wa kampuni ya kupiga simu Afrika Mashariki kwa gharama nafuu UmojaPhone , kutoka kushoto ni John Sausi na kulia ni Emmanuel Msengi, watembelee hapa http://www.umojaphone.com/ |
Wadau wa Umoja Phone |
Hawa ni powering potencial ambao wapo New York nambali yao ni +1212 595 3549 na wanapatika kwa sanduku la posta 230913,New York,NY 10023 |
Asia Idarous Khamsini nae alikua mmoja wa wajasiliamali waliokuwepo kwenye mkutano wa DICOTA kwa mahitaji ya nguo zake wasiliana nae +1832 273 6748 |
Hawa ni AFRICAN TRAILS LIMITED kwa maswala yote ya utalii na car hire tembelea tovuti yao www.africantrails.com |
Wafanyakazi wa Ubalozi wetu Nchini Marekani kitengo cha VISA nao walikuwepo kwenye mkutano huu wa DICOTA kujaribu kujibu maswali yote yanayotatiza kuhusu VISA na mambo mengine ya Uhamiaji |
Kushoni ni Karen Hoffman akiwa na Chanel LeMond ambao walikua chini ya TANZANIA TOURIST BOARD USA ambao ofisi zao zipo 347 Fifth Av,Suite 1205,New York,NY 10016 namba ya simu ni +1 212 447 0027. |
No comments:
Post a Comment