Bingwa mpya wa UB0 uzito wa bantum Francis Miyeyusho akifurahia ushindi, alipokuwa akivalishwa mkanda wa ubingwa na mlezi wa mchezo wa ngumi nchini kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova. Mpambanohuo ulifanyika hapo jana katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Miyeyusho aliibuka Mshindi baada ya kumpiga bingwa wa zamani wa UBO Mbwana Matumla. |
No comments:
Post a Comment