To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, October 24, 2011

Hii ndio siri ya Kanali Gaddafi kuuwawa?

Muammar-al-Gaddafi
KUNA watu wengi wamekuwa na maoni tofauti juu ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Taifa la Libya Kanali Muammar Gaddafi.
Wapo wanaounga mkono juhudi za kumng’oa madarakani zilizofanywa na majesji ya NATO kwa kushirikiana na waasi wa Libya. Na hapo hapo lipo kundi ambalo haliungi mkono wala kukubaliana na sababu zilizokuwa zikitolewa na waliokuwa wakiendesha kampeni ya kumng’oa madarakani. Baadhi ya wachambuzi wa kimataifa kunasababu wanazitoa.
(The Real Reason Why Gadaffi Was Killed Why We’re In Libya) Tembelea ‘site’ hii; http://www.youtube.com/watch?v=LOpC9A_h0cY

No comments: