To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, October 17, 2011

IGP Mwema atangaza dau la Milioni 5 atakefanikisha kukamatwa aliyemjeruhi Albino

Jeshi la Polisi nchini (PT) kupitia Inspekta Generali wake Said Mwema imetangaza dau la Shilingi Milioni 5 kwa mtu yeyote atakae fanikisha kupoatikana kwamtu aliye mjeruhi mtoto Adam Robert (14) ambaye ni Albino huko Geita ambapo mtu asiyejulikana alimvamia mtoto huyo na  kuanza kumkata kata mikono na kisha kutoweka na vidole vya Albino huyo.

Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia mwishoni mwawiki katika Kijiji cha Nyaruguguna, Kata na Tarafa ya Nyang’hwale ambapo mlemavu huyo, Adam Robert (14), mwanafunzi wa darasa la nne, alivamiwa na kukatwa mkono wa kulia na kisha kunyofolewa vidole vitatu vya mkono wa kushoto.

No comments: