Monday, October 24, 2011

JUDITH SANGU NDIYE MISS KIU 2011

Mrembo Judith Sangu usiku wa jana aliibuka kidedea baada ya kuwabwaga warembo wenzake katika shindano la kumsaka mlimbwende wa  Chuo Kikuu cha Kampala International University(KIU) tawi la Dar es Salaam.


Warembo waliofanikiwa kuingia tatu bora ni Judith Sangu ndiye mshindi(katikati),Martha Kamanyola mshindi wa pili (kulia) na Asha Mohamed mshindi wa tatu(kushoto).


No comments:

Post a Comment