To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, October 25, 2011

Katibu Mkuu Wa CCM Akutana Na Balozi Wa China Leo


KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha Balozi wa China nchini, Liu Xinsheng, mgeni huyo alipomtembelea ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Balozi huyo alipomtembelea Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,  Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

No comments: