Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mama wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Professa Beno Ndulu kufuatia kifo cha mama yake mzazi Bibi.Regina Steven Mpangile kilichotokea juzi(30/9/2011) katika hospitali ya Hubert Kairuki jijini Dar es Salaam.Kushoto aliyesimama ni Professa Beno Ndulu.Marehemu Regina anatarajiwa kuzikwa kesho katika makaburi ya Kinondoni. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa marehemu ,Tabata jijini Dar es Salaam kutoa pole na kuifariji familia ya marehemu. |
No comments:
Post a Comment