![]() |
Maelfu ya wananchi washiriki katika kusindikiza jeneza lenye mwili wa Marehemu Maulid Hamad Maulid,(mwanahabari) na kuelekea kuzikwa Bumbwini Wilaya kaskazini B Unguja leo. |
![]() |
Waumini wa Dini ya kiislamu wakimsomea hitma marehemu Maulid Hamad Maulid, katika msikiti wa Mombsa kwa mchina,ambae alifariki juzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Unguja. |
No comments:
Post a Comment