Matukio ya ajali ya Basi Misugusugu Kibaha mkoani Pwani
Moja ya maiti ambazo ziliteketea kwa moto kufuatia ajali ya basi la Delux Coach lilopata ajali ya kupasuka gurudumu la mbele maeneo ya Misugusugu Wilayni Kibaha mkoani Pwani Oktoba 25,2011na kupinduka kabla ya kuwaka moto na kupoteza maisha ya abiria wa basi hilo takribani 25 na wengine zaidi ya 17 kujeruhiwa vibaya. Basi hilo lilikuwa linatokea jijini Dar es Salaam likielekea Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akizungumza alipofika eneo la tukio.
Wananchi na polisi wakiangalia mabaki ya basi hilo baada ya kuteketea kabisa kwa moto.
No comments:
Post a Comment