To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, October 26, 2011

News Alert: Ajali Nyingine Yatokea Mbeya



Maiti ikinasuliwa kutoka kwenye moja ya magari  yaliyopata ajali katikaeneo la pipeline mkoani Mbeya, ajali hiyo imetokea hivi punde. Tutawaletea taarifa juu ya chanzo na mengineyo kadiri taarifa zitakavyokua zinatufikia.

No comments: