Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto),Balozi Juma Mwapachu(kushoto), Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal(wapili kushoto), Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,(wanne kushoto) na Waziri Mstaafu Bakari Mwapachu(kulia)wakiwa katika swala ya kumuombea Marehemu Harith Juma Mwapachu wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana.Marehemu Harith aliyefariki jana asubuhi ni Mtoto wa kiume wa balozi Juma mwapachu. |
No comments:
Post a Comment