Msanii wa Nollywood Rita Dominic (Pichani) amepewa tuzo ya ''Nollywood best single actress'' Hilo limetokana na yeye kuwa na umri wa miaka 37 lakini hana mume wala mtoto na ni muda mrefu tangu aishi maisha hayo japo alishadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Jimmy IIke. Rita anasema yuko poa tu na life hilo, mastaa wengi tu hata hapa bongo hupenda kuishi hivi au hufikia wakati wakaamua tu kuzaa basi ila suala la ndoa hawataki kabisa kulisikia kwasababu zao wenyewe. |
No comments:
Post a Comment