To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, October 17, 2011

WAREMBO WA CHUO KIKUU CHA KAMPALA KUTOANA JASHO JUMAMOSI HII

Shindano la kumsaka mrembo wa Chuo Kuu cha Kimataifa Kampala (KIU) 2011 litarajiwa kufanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (Quality Center) uliopo barabara ya Pugu, ambapo jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 Octoba 2011.

Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya Dully Sykes, D-Nob, Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers), mbali ya burudani hizo kutakuwa na pamoja masupastaa wa movie.



Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikiana na wadau maarufu wa mambo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS FM, KIU DSM(GONGO LA MBOTO) ,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(Quality Center),Kitchen hut (mlimani city) kwa kiasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/= Wadhamini wa Shindano hili ni Savanna Lounge hotel,Belmont hotel,Clouds FM,Air Uganda na Uniqueentertz blogspot

No comments: