To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, October 31, 2011

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA JAJI WARIOBA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Sinde Warioba, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011.

No comments: