Washiriki wa Mashindano ya michezo ya SHIMIWI 2011 wakipanda miti katika shule ya sekondari ya ufundi Tanga wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo inayofanyika mwaka huu Mkoani Tanga ambapo kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imedhamini michezo hiyo na kushirikiana na kampuni ya Tumbako Tanzania TLT katika zoezi zima la kupanda miti. |
No comments:
Post a Comment