Tuesday, November 29, 2011

Balozi Wa Denmark Amuaga Rais Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na`Balozi wa Denmark aliyemaliza muda wake wa kazi nchini Bw. Bjarne Henneberg Sorensen jijini Dar es salaam leo Novemba 29, 2011 wakati alipokwenda kumuaga Ikulu Picha na IKULU
Balozi wa Denmark aliyemaliza muda wake wa kazi nchini Bw. Bjarne Henneberg Sorensen Ikulu akipunga mkono kama ishara ya kuaga wakati alipokuwa akiondoka Ikulu.


Rais Dk. Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Denmark aliyemaliza muda wake wa kazi nchini Bw. Bjarne Henneberg Sorensen Ikulu.

No comments:

Post a Comment