Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Chama cha Habari za Mazingira[JET} jana kuhusu Maandalizi ya Mkutano wa 17 wa Nchi zilizoridhia Mkataba wa Umoja wa mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi Unaotarajia Kufanyika Durban Afrika ya Kusini
No comments:
Post a Comment