To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, November 16, 2011

Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Akutana Na Mabalozi wa Sudan Na Japan Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohamed Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Novemba 16, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohamed Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Novemba 16, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi mpya wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzona kujitambulisha leo Novemba 16, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo na kujitambulisha leo Novemba 16, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: