MAOFISA WA KAMPUNI YA UHURUONE WAKIWA KATIKA MAONYESHO YA ITU, JIJINI GENEVE - USWIZI
Maofisa wa kampuni ya UhuruOne wakifurahia jambo pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa ITU Hamadoun Toure alipowatembelea katika banda la Tanzania katika maonesho ya ITU, Geneve
Maofisa wa UhuruOne w akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Intel John Davies baada ya maongezi na uongozi wa Intel. Kushoto ni Mkurugenzi wa Intel Afrika Mashariki na wa pili kushoto ni Federiko Carvalho, Mkurugenzi wa maendeleo wa Intel
No comments:
Post a Comment