Monday, November 7, 2011

Mapokezi ya Prince Charles na mkewe Camilla Ikulu Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akizuka kujiandaa kumpokea Prince Charles na mkewe Camilla Ikulu Dar es Salaam asubuhi hii.

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na mkewe wakijiandaa kwa mapokezi ya Prince Charles na mkewe Camilla waliomtembelea leo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment