Mafundi wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wakianza hatua za mwanzo za uchimbaji wa kisima cha maji na utengenezaji wa mabomba ya hospitali ya Amana ambao ni walengwa wa hafla ya kuchangisha fedha ya mfuko wa Shear Charity Ball iliyofanyika tarehe 1/10/2011 katika Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam na kudhaminiwa na makampuni ya Serengeti breweries, Bilicanas Group, TCRA, GS4, NSSF, Azania Bank, National Housing Corporation, 540, Clouds FM, Clouds TV, Precision, Benchmark Production, Peacock Hotel, S.S Concrete, Tinamaria , imaging smart, Hugo Domingo, DTP, Pepsi, Advertisin dar, AIESEC, Coastal Travels, Cocotan, i-view media, Maxcom, THT |
No comments:
Post a Comment