Wanahabari wakiwa na nyuso za furaha baada ya kutunukiwa nondo zao hii leo katika Mahafali ya Chuo Kikuu cha Tumaini (Tawi la Dar es Salaam) mahafali yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Jeff Shilembi wa TBC, Leonard Magomba Mpigapicha wa The East Africa, Emmanuel Kwitema Mpigapicha wa Busness Time na Paul James wa Cloud FM. |
No comments:
Post a Comment