Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM Bw. Rene Meza kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3, 2011 Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba. |
No comments:
Post a Comment