Wednesday, November 9, 2011

Pinda akutana na Viongozi wa Songas


Waaziri Mkuu Mizengo Pinda  akisalimina na Viongozi wa Kampuni ya Globeleq-Songas  kabla ya kuzungumza nao, ofisini kwake Mjini Dodoma Novemba 8, 2011. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Christopher Ford, Paul  Kunert, Mikael Karlsson  na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 1PLUS  Communication, Fina Mango.

No comments:

Post a Comment