To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, November 7, 2011

Prince Charles Atembelea Kambi ya Jeshi La Wananchi (JWTZ) ya NGOME


Prince Charles (katikati) akipata maelezo leo jijini Dar es salaam kutoka kwa mmoja wa wanajeshi wa Tanzania ambao ni sehemu ya vikosi vya Umoja wa Mataifa ya kulinda amani ya Darful ambao wamesharejea nchini. Kushoto ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi

Prince Charles (katikati) akipata maelezo leo jijini Dar es salaam kutoka kwa mmoja wa wanajeshi wa Tanzania ambao ni sehemu ya vikosi vya Umoja wa Mataifa ya kulinda amani ya Darful ambao wamesharejea nchini. Kushoto ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi.

Prince Charles akipokea heshima rasmi leo jijini Dar es salaam kutoka gwarige maalum lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na kuonyesha jinsi vikosi vya Tanzania vinavyoshiriki kulinda amani.

 Prince Charles akikagua gwaride maalum leo jijini Dar es salaam lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na kuonyesha jinsi vikosi vya Tanzania vinavyoshiriki kulinda amani
 
Mke wa Prince Charles , Camilla(katikati) akiongea leo jijini Dar es salaam na baadhi ya mmoja wa mke wa mwanajeshi wa Tanzania ambaye alikuwa ni sehemu ya vikosi vya Umoja wa Mataifa ya kulinda amani ya Darful ambao wamesharejea nchini. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu.

No comments: