Sunday, November 27, 2011

Tamasha La Str8 Muzik Lafana Leaders Club, Dar

Msanii wa Hip-Hop toka Marekani Fabolous akitoa burudani kwenye tamasha hilo

Mashabiki wa Muziki waliojitokeza kushuhudia tamasha hilo

Afande Sele nae alikuwepo kuporomosha burudani

Jay Mo na Mchizi Mox wakifanya vitu vyao

Wadau wakutosha ndani ya leaders club

No comments:

Post a Comment