To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, November 14, 2011

Ziara Ya Dr. Shein Huko Sharjah (UAE) Katika Picha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi,Prof.Hassam Hamdy,(kushoto) na (kulia) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme,alipotembelea katika chumba mafunzo ya udakatari Chuoni hapo Mjini Sharjah. Picha na Ramadhan Othman,Sharjah (UAE)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mhe Sheikh Sultan Mohamed Al Qasimi,alipowasili katika makaazi yake Mjini Sharja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Makamo Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi,Prof.Hassam Hamdy,(kulia) na (wa pili kushoto) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme, alipotembela chuo cha Afya ya sayansi ya Sayansi Mjini Sharjah.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na ) Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri,wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah.

No comments: