Friday, November 4, 2011

Zitto Kabwe

Mheshimiwa Zitto Kabwe (Mb) alipotembelewa na waTanzania wenzake ambao ni wagonjwa wenzake walio kwenye matibabu katika hospitali ya Apollo nchini India kwa lengo la kumuaga na kumtakia safari njema katika safari yake ya kurejea nyumbani Tanzania

No comments:

Post a Comment