Sunday, December 4, 2011

Hongera Juliet Kwa Kula Nondoz

Juliet Muro akipongezwa na wazazi wake Mr & Mrs Muro mara baada ya kula nondo ya shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha mzumbe kampasi ya Dar es Salaam wikiendi iliyoisha jana

No comments:

Post a Comment