![]() |
Mdau Henry Mdimu a.k.a Zee la Nyeti akionyeshana malavidavi na mai waifu wake |
![]() |
Henry na Mke wake |
![]() |
Barnaba Akiwatumbuiza Maharusi |
![]() |
Wakati wa maakuli uliwadia na maharusi ndio walioongoza kwa wageni waalikwa katika zoezi hilo. |
![]() |
Mroki Mroki na Mai Waifu wake |
![]() |
Gardner-MC |
![]() |
Barnaba Akitumbuiza |
![]() |
Mzee wa Libeneke,Ankal Michuzi na ubavu wake (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maharusi. |
![]() |
Mduara ukisongeshwa. |
![]() |
Wadau Othman (kushoto) na Ahmad Michuzi (kulia) wakiwa na maharusi ukumbini hapo. |
![]() |
Mwana FA na wadau. |
![]() |
Ma-MC Picha zote na Michuzi-Matukio |
No comments:
Post a Comment