Tuesday, January 10, 2012

KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI TAFRIJA YA MWAKA MPYA - SHERRY PARTY, IKULU

Rais Jakaya  Kikwete akiongea na mabalozi aliowakaribisha katika tafrija ya Mwaka mpya - Sherry Party -  Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na mabalozi katika tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam jana
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment