To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Friday, January 13, 2012

Msaada Kwa Saidi Tamimu Ally




Ndugu Saidi Tamimu Ally  ambaye ni mlemavu wa ngozi na pia ni mlemavu wa macho, anasumbuliwa na saratani ya ngozi iliyoathiri sehemu kubwa ya uso  upande wa kulia na mgongoni.
Saidi anahitaji msaada wa hali na mali ili kupata  matibabu , huduma ya chakula na msaada wa  kisaikolojia. Ndugu Saidi anaishi Mburahati Mtaa wa Kanuni nyumba namba 393.Kwa msaada  na  mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na Anna Sangai :Simu namba 0715 362373 au kwa barua pepe anna.sangai@gmail.com

No comments: